Siyo siri tena; usipitwe na WIKEND HII, sasa njoo #BORN_SHOP_MAWENI upate BIDHAA mbali mbali kwa bei POA,kama zinavyo onekana katika picha zangu mbalimbali,#KARIBUNI_SANA(pata bidhaa nzuri kutoka KWANGU)
03 December 2015
19 September 2015
PATA ZAIDI LIPA KIDOGO KIDOGO
Pata zaidi lipa kidogo! Pata BIDHAA mbalimbali hapa#BORN_SHOP_MAWENI,kwa #MTONYO/BEI POA sanaaaa,Karibuni sana Wateja wangu.... (Mawasiliano:0764110108)
09 September 2015
MSHIKE MSHIKE...
Usipitwe na mshike mshike wa BIDHAA kutoka kwa #BORN_SHOP_MAWENI,njoo ununue #BIDHAA nzuri za UBORA SAFI KWA BEI POA,tazama picha za bidhaa tulizonazo,karibuni sana Wateja wangu mfurahi....
08 May 2015
BIDHAA KWA BEI RAHISI
"Nunua BIDHAA kwa MTONYO/BEI ya kawaida,ndani ya WIKEND" hii.Karibuni sana wangu wa Nguvu...<tazama picha mbalimbali>
01 May 2015
"PATA KUKU BEI RAHISI"
Acha nikujuzee....!!!, Njoo upate KUKU(KUKU POA) walio tengenezwa vizuri na kuwekwa viungo stahiki wanapatikana #BORN_SHOP_MAWENI kwa BEI poa sana,karibuni sanaa Wadau wa KIGOMA,<Mawasiliano 0764 110108.>
26 April 2015
MUONEKANO MPYA WA PAMPERS
WIKEND HII: karibu ununue PAMPERS(sleepy,moti.... na nk) kwa bei RAHISI KABISA,hii ni mpya na nzuri kwa ajili ya mtoto wako,karibu #BORN_SHOP.
18 April 2015
RADHA YA NESQUIK
BIDHAA MPYAA!!!!,Sasa nimekuletea #NESQUIK ; hii ni kichanganyiko ndani ya Kimiminiko chochote(chai na n.k) hufanya kimiminiko chako kiwe na radha ya #CHOKOLATE,Njoo #WIKEND hii ufurahi Karibuni sana. Infro;;0764 110108
12 April 2015
NUNUA "SAUSAGE" BEI POA
>>>HII INAKUHUSU:Sasa njoo #BORN_SHOP_MAWENI upate Bidhaa mpya Kama:#SAUSAGE(ladha ya Kuku na ladha ya nyama ya N'gombe) bidhaa hiyo inapatikana kwa bei POA,Kama inavyo onekana kwenye picha hii,KARIBUNI SANA
11 April 2015
INAKUHUSU WIKEND HII
>>>Usipitwe WIKEND HII,sasa njoo #BORN_SHOP_MAWENI upate bidhaa kwa bei POA,Kama zinavyo onekana kwenye picha zangu mbalimbali,KARIBUNI SANA
09 April 2015
JIPATIE YOGHUT na NESCAFE
Kama ukimya ni dawa endelea kumaliza dozi...!!! #BORN_SHOP_MAWENI_KIGOMA sasa nimewaletea #MAZIWA(YOGHUT) SAFI kutoka MARA yana radha ya strawberry,pia nimekuletea #NESCAFE hii inafanya kinywaji chako kiwe na radha nzur,hususani CHAI.Njoo upate kwa bei rahisi sana.Kwa mawasiliano #0764110108.Karibuni sana
06 April 2015
"NUNUA KUKU WALIO SAFI"
09 February 2015
"PUNGUZO LA BEI KWA ASALI"
WIKEND HII,
