09 February 2015

"PUNGUZO LA BEI KWA ASALI"

Hii ni ASALI halisi kwa ajili ya afya yako,njoo dukan upate asali nzuri kwa vipimo tofauti tofauti,kama inavyo onekana kwa PUNGUZO LA BEI KWA KILA DUMU/KOPO LA ASALI,jali afya yako
 

 

FURAHA YA MWAKA 2015,

Nawatakia kher na furaha ya mwaka mpya 2015,"ENDELEENI KUPATA BIDHAA KWA PUNGUZO KUBWA LA BEI"



WIKEND HII,

Siyo siri tena; usipitwe na WIKEND HII, sasa njoo ‪#‎BORN_SHOP_MAWENI‬ upate BIDHAA mbali mbali kwa bei RAHISI,Pata bidhaa nzuri kutoka KWANGU


HUDUMA NYINGI

NDANI YA BORN SHOP:Endelea kupata HUDUMA nzuri na Bora kwa bei iliyo RAHISI kabisa, karibu ufurahie VITU MBALIMBALI,
PATA korosho safi kwa kwa bei poa na HUDUMA NYINGI SANA,kama zinavyo onekana kwenye PICHA ZANGU MBALIMBALI
.

PUNGUZO LA BEI KWA KILA BIDHAA

Endelea kufurahia PUNGUZO LA BEI KWA KILA BIDHAA,njoo uone bidhaa mbalimbali kwa bei ya kawaidaa...!!!,kwa sasa mzigo mpyaa umeingia.^KARIBUNI SANA^