WIKEND HII: karibu ununue PAMPERS(sleepy,moti.... na nk) kwa bei RAHISI KABISA,hii ni mpya na nzuri kwa ajili ya mtoto wako,karibu #BORN_SHOP.
26 April 2015
18 April 2015
RADHA YA NESQUIK
BIDHAA MPYAA!!!!,Sasa nimekuletea #NESQUIK ; hii ni kichanganyiko ndani ya Kimiminiko chochote(chai na n.k) hufanya kimiminiko chako kiwe na radha ya #CHOKOLATE,Njoo #WIKEND hii ufurahi Karibuni sana. Infro;;0764 110108
12 April 2015
NUNUA "SAUSAGE" BEI POA
>>>HII INAKUHUSU:Sasa njoo #BORN_SHOP_MAWENI upate Bidhaa mpya Kama:#SAUSAGE(ladha ya Kuku na ladha ya nyama ya N'gombe) bidhaa hiyo inapatikana kwa bei POA,Kama inavyo onekana kwenye picha hii,KARIBUNI SANA
11 April 2015
INAKUHUSU WIKEND HII
>>>Usipitwe WIKEND HII,sasa njoo #BORN_SHOP_MAWENI upate bidhaa kwa bei POA,Kama zinavyo onekana kwenye picha zangu mbalimbali,KARIBUNI SANA
09 April 2015
JIPATIE YOGHUT na NESCAFE
Kama ukimya ni dawa endelea kumaliza dozi...!!! #BORN_SHOP_MAWENI_KIGOMA sasa nimewaletea #MAZIWA(YOGHUT) SAFI kutoka MARA yana radha ya strawberry,pia nimekuletea #NESCAFE hii inafanya kinywaji chako kiwe na radha nzur,hususani CHAI.Njoo upate kwa bei rahisi sana.Kwa mawasiliano #0764110108.Karibuni sana