03 December 2015

"PUNGUZO LA BEI WEEKEND"

Siyo siri tena; usipitwe na WIKEND HII, sasa njoo ‪#‎BORN_SHOP_MAWENI‬ upate BIDHAA mbali mbali kwa bei POA,kama zinavyo onekana katika picha zangu mbalimbali,#KARIBUNI_SANA(pata bidhaa nzuri kutoka KWANGU)

19 September 2015

PATA ZAIDI LIPA KIDOGO KIDOGO

Pata zaidi lipa kidogo! Pata BIDHAA mbalimbali hapa#BORN_SHOP_MAWENI,kwa #MTONYO/BEI POA sanaaaa,Karibuni sana Wateja wangu.... (Mawasiliano:0764110108)

09 September 2015

MSHIKE MSHIKE...

Usipitwe na mshike mshike wa BIDHAA kutoka kwa #BORN_SHOP_MAWENI,njoo ununue #BIDHAA nzuri  za  UBORA SAFI KWA BEI POA,tazama picha za bidhaa tulizonazo,karibuni sana Wateja wangu mfurahi....

08 May 2015

BIDHAA KWA BEI RAHISI

"Nunua BIDHAA kwa MTONYO/BEI ya kawaida,ndani ya WIKEND" hii.Karibuni sana wangu wa Nguvu...<tazama picha mbalimbali>

01 May 2015

"PATA KUKU BEI RAHISI"

Acha nikujuzee....!!!, Njoo upate KUKU(KUKU POA) walio tengenezwa vizuri na kuwekwa viungo stahiki wanapatikana #BORN_SHOP_MAWENI kwa BEI poa sana,karibuni sanaa Wadau wa KIGOMA,<Mawasiliano 0764 110108.>

26 April 2015

MUONEKANO MPYA WA PAMPERS

WIKEND HII: karibu ununue PAMPERS(sleepy,moti.... na nk) kwa bei RAHISI KABISA,hii ni  mpya na nzuri kwa ajili ya mtoto wako,karibu #BORN_SHOP.

18 April 2015

RADHA YA NESQUIK

BIDHAA MPYAA!!!!,Sasa nimekuletea #NESQUIK ; hii ni kichanganyiko ndani ya Kimiminiko chochote(chai na n.k) hufanya kimiminiko chako kiwe na radha ya #CHOKOLATE,Njoo #WIKEND hii ufurahi Karibuni sana. Infro;;0764 110108

12 April 2015

NUNUA "SAUSAGE" BEI POA

>>>HII INAKUHUSU:Sasa njoo #BORN_SHOP_MAWENI upate Bidhaa mpya Kama:#SAUSAGE(ladha ya Kuku na ladha ya nyama ya N'gombe) bidhaa hiyo inapatikana kwa bei POA,Kama inavyo onekana kwenye picha hii,KARIBUNI SANA

11 April 2015

INAKUHUSU WIKEND HII

>>>Usipitwe WIKEND HII,sasa njoo #BORN_SHOP_MAWENI upate bidhaa kwa bei POA,Kama zinavyo onekana kwenye picha zangu mbalimbali,KARIBUNI SANA

09 April 2015

JIPATIE YOGHUT na NESCAFE

Kama ukimya ni dawa endelea kumaliza dozi...!!!  #BORN_SHOP_MAWENI_KIGOMA sasa nimewaletea #MAZIWA(YOGHUT) SAFI kutoka  MARA yana radha ya  strawberry,pia nimekuletea #NESCAFE hii inafanya kinywaji chako kiwe na radha nzur,hususani CHAI.Njoo upate kwa bei rahisi sana.Kwa mawasiliano #0764110108.Karibuni sana

06 April 2015

"NUNUA KUKU WALIO SAFI"

Kwa wale wa Kigoma,Sasa nime waletea #KUKU <Whole Chicken na BEEF> walio fungwa kwenye Mifuko maalum,kwa bei rahisi sana,#Njoo ununuee kuku kwa bei ya kawada, kwa mawasiliano<0764 110 108>

09 February 2015

"PUNGUZO LA BEI KWA ASALI"

Hii ni ASALI halisi kwa ajili ya afya yako,njoo dukan upate asali nzuri kwa vipimo tofauti tofauti,kama inavyo onekana kwa PUNGUZO LA BEI KWA KILA DUMU/KOPO LA ASALI,jali afya yako
 

 

FURAHA YA MWAKA 2015,

Nawatakia kher na furaha ya mwaka mpya 2015,"ENDELEENI KUPATA BIDHAA KWA PUNGUZO KUBWA LA BEI"



WIKEND HII,

Siyo siri tena; usipitwe na WIKEND HII, sasa njoo ‪#‎BORN_SHOP_MAWENI‬ upate BIDHAA mbali mbali kwa bei RAHISI,Pata bidhaa nzuri kutoka KWANGU


HUDUMA NYINGI

NDANI YA BORN SHOP:Endelea kupata HUDUMA nzuri na Bora kwa bei iliyo RAHISI kabisa, karibu ufurahie VITU MBALIMBALI,
PATA korosho safi kwa kwa bei poa na HUDUMA NYINGI SANA,kama zinavyo onekana kwenye PICHA ZANGU MBALIMBALI
.

PUNGUZO LA BEI KWA KILA BIDHAA

Endelea kufurahia PUNGUZO LA BEI KWA KILA BIDHAA,njoo uone bidhaa mbalimbali kwa bei ya kawaidaa...!!!,kwa sasa mzigo mpyaa umeingia.^KARIBUNI SANA^




23 January 2015

"NUNUA MORDEM na VIFAA VYA UMEME..."

>>HII INAKUHUSU!!!:Nunua MORDEM na VIFAA VYA UMEME kwa bei ya Kawaida,Kama inavyo onekana kwenye picha hiyo.KARIBUNI SANA "BORN SHOP MAWENI"WADAU WANGU